Tuesday, November 17, 2015

Kwenu Mabinti. Ati; Unaijua Siri ya Kuwa na Tumbo Flat na Kumentein Kiuno Kizuri na Chenye Mvuto Kama Hichi? Take a Guess na Nitarudi Kutoa Jibu Baadaye Pamoja na Proof. Jumanne Njema

Na Kama Picha Kama Hizi Nazo Pia Haziruhusiwi Semeni Tuziondoe. 
Hatutaki ugomvi na mtu jamani

Ni Legend Mwenyewe na Marafiki Zake Wakila Bata. Unawatambua Wangapi Hapa? Unaweza Kunitajia Majina?

Jimama Vai...Byutifuuuuuuu !!!

Mama na Mwana !!!

Learning to Sing?


Relazing - Karibu na Pool + Jacuzz

Miksicha Nzuri !!!